Ili kulinda jamii yetu, Eneo la Afya la Vijijini la Mambasa inatukumbusha namba ya simu ya kuita wakati tunapoona kuna mtu anayezaniwa kuwa na ugonjwa wa virusi vya Ebola :
- 082 536 4329
- 098 524 6656
Alama
Alama kuu ni kikoozi kali ya rafla, kuchoka sana, maumivu ya kichwa, kutapika, kuhara ama kuendesha na, wakati ingine, kutokwa na damu isiyo eleweka.
📞 Kila sekunde ni muhimu : hifazi na usambaze namba za simu hizi ili kusaidia kuokoa maisha.

