Sheria ya kimataifa ya kibinadamu inawalazimisha wapiganaji wote kulinda raia na mali zao wakati wote wa mzozo wa silaha.
Ili kuelewa vizuri haki na ulinzi wa raia, MAMBASANEWS.CD inawaalika kusikiliza kipindi hiki kinachozungumzia ulinzi wa raia na mali zao.
Ujumbe huu umetolewa na Appel de Genève, katika kampeni ya uhamasishaji kupitia vyombo vya habari katika jimbo la Ituri.
