Image d'illustration
Katika mfumo wa kampeni ya uhamasishaji kupitia vyombo vya habari katika jimbo la Ituri kuhusu Sheria ya Kimataifa ya Kibinadamu (DIH) na Sheria ya Kimataifa ya Haki za Binadamu (DIDH), MAMBASANEWS.CD, kwa ushirikiano na Appel de Genève, inaandaa kipindi hiki ya kwanza kueleza kuhusu tafauti kati ya raia na wapiganaji.
Hii ni kanuni ya msingi sana katika kulinda raia na watu wote ambao hawashiriki katika mapigano wakati wa mzozo wa silaha.
Sikiliza kipindi hapa ⤵
